Triple A FM

Mvua

10 April 2024, 4:48 pm

Mvua zasababisha kilio kila kona jijini Arusha

Na Anthony Masai Mvua iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo jijini Arusha imesababisha madhara hasa uharibifu wa miundombinu na makazi. Mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo zimeharibu barabara iliyokuwa ikiendelea kujengwa inayoanzia eneo la Mianzini mataa jijini Arusha hadi Ilkiding’a…