
Waziri

7 February 2025, 3:58 pm
Wananchi watakiwa kuona fursa kwenye uchumi wa kidigitali
Ikumbukwe kuwa Shindano hili la Masuala ya Usalama Mtandaoni’ yaan CyberChampions 2025 linaratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa lengo la kuibua, kuimarisha na kukuza uwezo kwa vijana kukabili vihatarishi vya usalama mtandaoni na kushiriki kikamilifu kwenye uchumi wa…

12 November 2024, 5:26 pm
Matumizi ya simu kwa mwanafunzi chanzo cha vishawishi
Na Anwary Shabani . Matumizi ya simu yametajwa kuwa chanzo kwa baadhi ya wanafunzi kushindwa kuepukana na vishawishi . Baadhi ya wazazi mkoani Dodoma wamesema kuwa matumizi ya simu kwa wanafunzi yanasababisha baadhi ya wanafunzi wasitimize ndoto zao kutokana na…

14 October 2024, 7:57 pm
PM Majaliwa awataka vijana kuchangamkia fursa za teknolojia
Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa . Amesema hayo Octoba 11 wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa…

3 July 2023, 3:35 pm
Waziri Mhagama akabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa Mashujaa
Mwakilishi wa kampuni ya Ujenzi kutoka SUMA JKT kanda ya Kati Meja Samweli Jambo, amesema ujenzi huo umefuata taratibu zote za upimaji na viwango. Na Pius Jayunga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na…

6 April 2023, 5:21 pm
Wawekezaji Mundemu wapewa siku 45 kudhibiti vumbi
Hivi karibuni Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)- Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi – Dodoma na Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Bahi ilifanya Ukaguzi katika eneo la mradi huo.…