Radio Tadio

Vipimo

23 May 2024, 4:27 pm

Wakazi zaidi 14,000 waondokana na adha ya maji Ntyuka

Kata ya Ntyuka ina Mitaa mitano na wamenufaika na Visima 3 viliyochimbwa katika maeneo yao kwani viwili vinatoa maji na kimoja bado hakijaanza kutoa maji. Na Mindi Joseph.Wakazi zaidi ya Elfu 14,000 wa kata ya Ntyuka Jijini Dodoma Wameondokana adha…

28 July 2023, 2:41 pm

Bodi mpya yatakiwa kusimamia kanuni, taratibu

Pia amesema wana jukumu la kuishauri wizara kujua ni namna gani Wakala wa Vipimo iboreshe utendaji kazi wake. Na Seleman Kodima. Waziri wa Viwanda na Bashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji¬† amewataka wajumbe¬† wapya wa bodi ya sita ya ushauri ya…

3 March 2023, 1:14 pm

Wauzaji wa gesi watakiwa kuwa na mizani ya Vipimo

Hayo ameyasema leo wakati akifungua mafunzo ya wafanyabishara wa gesi za kupikia yaliyoandaliwa na wakala wa Vipimo mkoa wa Dodoma ambapo amewataka wakala huo kuhakikisha baada ya siku 60 wafanyabiashara wa gesi za kupikia wanakuwa na mizani ya vipimo sahihi.…