Radio Tadio

Umwagiliaji

6 June 2024, 6:42 pm

Njia salama za uzazi wa mpango-Makala

Tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi hawataki kupata ujauzito tena ndani ya mwaka mmoja baada ya kujifungua. Na Mwandishi wetu.Wakati kila mtu ana haki ya kufanya uamuzi wake kuhusu kutumia njia za uzazi wa mpango, si kila mtu anaweza kutumia haki…

31 July 2023, 5:34 pm

NIRC kujenga mabwawa 100 nchi nzima

Hatua hiyo itafanya kuwa na  mabwawa 114 ambayo yatawasaidia wakulima kuwa na Kilimo Cha uhakika. Na Seleman Kodima. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji NIRC imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mradi wowote umesimama kwa sababu ya fedha bali zipo hatua ambazo lazima…

27 June 2023, 4:38 pm

Kilimo cha umwagiliaji chachu uhakika wa chakula

Mwema ametumia nafasi hiyo kuwahamasisha wananchi kujiingiza kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kusaidia upatikanaji wa chakula kwa wingi na kwa uhakika. Na Bernadetha Mwakilabi. Mwakilishi wa shirika la chakula duniani (WFP) nchini Tanzania Bi Sarah Gordon- Gibson amesema kuwa kilimo…

6 March 2023, 11:40 am

Mpwapwa yatarajia kuanza  kilimo cha umwagiliaji

Bwawa hilo ambalo linajengwa kati ya kijiji cha Chunyu na Ng’ambi wilayani Mpwapwa hadi sasa umefikia asilimia 30 huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Na Mariam Kasawa Jumla ya shilingi bilioni 27 zimetolewa ili kukamilisha uchimbaji wa bwawa litakalo…