Radio Tadio
ufunguzi
28 December 2023, 18:09
Zahanati ya IlengeĀ kata ya Kyimo wilayani Rungwe imefunguliwa
Na mwandishi wetu Huduma ya Matibabu kwa Wagonjwa katika Zahanati ya Ilenge kata ya Kyimo imefunguliwa leo rasmi tarehe 27.12.2023 na kutoa huduma mbalimbali kwa ikiwemo ya mama na mtoto. Amesema pamoja na huduma zingine, wagonjwa wameendelea kunufaika na huduma…