Udongo
27 October 2024, 6:13 pm
Marie Stopes yazindua kampeni ya ‘kwa kila hatua ya mwanamke’
Kwa kutambua changamoto katika hatua ya ukuaji wa mwanamke na uhitaji wa huduma za afya, shirika la Marie Stopes Tanzania limezindua kampeni itakayomwezesha mwanamke kuanzia umri wa miaka 16 hadi 50 kupata huduma stahili za afya. Na Hilali A. Ruhundwa,…
15 October 2024, 7:29 pm
Mfumo dume bado ni changamoto kwa mwanamke kijijini
Na LĂ©onard Mwacha Ukosefu wa usawa wa kijinsia unaosababishwa na mila na desturi unadhoofisha uwezo kamili wa wanawake wa vijijini kujikwamua kiuchumi. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya mwanamke anayeishi kijijini na kutambua mchango wake katika uzalishaji wa chakula…
18 January 2024, 9:23 am
Wakulima wakosa elimu ya upimaji wa Udongo
Kata ya Handali ni wananchi 5 pekee ndio waliweza kukamilisha zoezi la upimaji udongo wa mashamba yao licha ya kipimo hicho kufanyika bure bila malipo katika ofisi za Wilaya ya Chamwino. Na Victor Chigwada. Imeeezwa kuwa wakulima wengi wamekosa elimu…
6 April 2023, 6:09 pm
Wananchi chemba wanufaika na elimu ya utunzaji ardhi
Hali hii inatajwa kusababishwa na shughuli za kibinadamu ikiwemo kukata miti, uwepo wa milima iliyozungukwa na udongo wa kichanga usioweza kushinadana na kasi ya maji, hali inayotajwa na wataalamu kuwa na athari katika kilimo. Na Mindi Joseph. Baadhi ya wakulima…