Tambukareli
6 Novemba 2025, 3:47 um
Chanhumba yaomba huduma ya nishati safi
Serikali imedhamiria kubadili matumizi kutoka kwenye kuni, mkaa na nishati zisizosafi, kwenda kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo serikali imesema inategemea ifikapo mwaka 2034 angalau takriban 80% ya kaya za Tanzania zitakuwa zinatumia nishati safi ya kupikia. Na Victor…
22 Agosti 2025, 1:31 um
Wafanyabiashara nyama choma watakiwa kutumia nishati safi
Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dt. Dotto Biteko na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakiwa na wafanyabiashara wa nyama choma Msalato. Picha na Seleman Kodima. Katika kuhakikisha watanzania 80% wanatumia nishati safi ya…
22 Agosti 2025, 12:41 um
Mkandarasi TBEA kufidia mradi wa njia ya kusafirisha umeme
Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Biteko akitoa maagizo kwa mkandarasi. Picha na Seleman Kodima. Dkt. Biteko ameeleza kuwa, sababu zilizotolewa na Mkandarasi zakuchelewesha mradi ikiwemo ya wananchi kugoma kutoa maeneo kwa madaiya fidia na kukutana…
18 Agosti 2025, 12:48 um
Wananchi Malechela waiomba serikali kuwakumbuka nishati safi
Fursa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia itawapunguzia wanawake kutumia muda mrefu wa kutafuta kuni kwaajili ya kupikia. Na Victor Chigwada.Wananchi wa vitongoji vya Sokoine na Malechela wameiomba Serikali kuwakumbuka katika miradi ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati mbadala…
23 Mei 2023, 6:30 um
Wakazi wa Chaduru waomba serikali ikamilishe soko la Tambukareli
Miundombinu ya soko hilo inaelezwa kuwa mibovu na kusababisha wafanyabiashara kushindwa kufanya biashara ndani ya eneo hili. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi wa kata ya Chaduru jijini Dodoma wameiomba serikali kukamilisha kwa haraka miundombinu ya soko la Tambukareli ili…