sumu
4 September 2026, 16:02
Wizara ya afya yasisitizi wa umuhimu wa elimu ya afya ya akili
Mafunzo hayo yanayofanyika jijini Dodoma ni sehemu ya jitihada za kuimarisha huduma kwa watu wenye changamoto ya matumizi ya pombe, huku wadau wakisisitiza umuhimu wa kuunganisha huduma za afya ya akili na huduma nyingine za afya nchini. Na Elizabeth Mwinuka. …
27 August 2026, 17:20
Changamoto ya afya ya akili yatajwa sababu ya mtu kijitoa uhai
Wananchi wameomba elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia iendelee kutolewa vijijini na mijini ili kuongeza uelewa, kuimarisha ushirikiano wa jamii na kuwasaidia watu wenye changamoto kupata msaada mapema. Na Daniel Njau Hali ya baadhi ya watu kukata…
26 August 2026, 17:06
Tabia uzofanya uamkapo zinaweza kuchangia umakini wa siku nzima
Ameongeza kuwa ni muhimu mtu kuwa na uwezo wa kuendelea na majukumu yake hata pale ambapo hajafanya jambo alilozoea kufanya mara baada ya kuamka. Je unafahamu kuwa tabia anazofanya mtu mara tu baada ya kuamka zinaweza kuwa na mchango katika…
30 July 2026, 17:40
Wanawake chanzo cha msongo wa mawazo kwa wanaume
Wanandoa kujenga utamaduni wa mawasiliano ya wazi, kuheshimiana na kutatua migogoro kwa njia ya mazungumzo, huku akisisitiza umuhimu wa kutafuta ushauri wa kitaalamu mapema ili kuzuia msongo wa mawazo na mfadhaiko usiathiri afya ya akili na ustawi wa familia. Na…
22 July 2026, 16:51
Athari za kiuchumi zinavyopelekea changamoto ya afya ya akili
Kwa upande wake msaikolojia mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Christopher Abuto ameshauri kuwa jamii nzima ichukue hatua ya kuyaona masuala ya maisha kuwa ni mambo ya kawaida kwa kutoweka malengo makubwa zaidi ya namna wanavyoishi na wanapokutana na magumu…
8 April 2026, 11:56
Mtindo wa maisha unaathiri vipi afya ya akili?
Katika majadiliano haya, tutaangazia jinsi mtindo wa maisha unavyoweza kuathiri afya ya akili . Afya ya akili ni sehemu muhimu ya ustawi wa jumla wa mwanadamu. Ni hali ya akili kuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha, kufikia…
2 April 2026, 16:50
Mirembe yatakiwa kuimarisha tathmini ya watoto wenye usonji
Maadhimisho ya Siku ya Usonji Duniani yamefanyika katika Hospitali ya Mirembe, Dodoma, yakiwa na lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu hali ya usonji pamoja na kuboresha mazingira kwa watu wenye usonji. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Weka Tumaini…
14 November 2025, 16:23
Jamii yatakiwa kuwa karibu na watu wanaopitia changamoto
Wananchi hao wamesema ni muhimu watu kutoogopa kueleza changamoto wanazopitia ili kupata msaada mapema, badala ya kuamua kujifungia ndani na kuendelea kuteseka kimya kimya Na Farashuu Abdallah.Katika juhudi za kukabiliana na vifo vinavyotokana na changamoto za afya ya akili, jamii…
13 November 2025, 16:48
Wananchi Membe wahamasishwa kilimo cha umwagiliaji
Kukamilika kwa bwawa hilo itawasaidia wananchi kufanya kilimo cha mwaka mzima tofauti na hapo awali ambapo kilimo kilitegemea msimu mmoja wa mvua. Na Victor Chigwada. Licha ya ujenzi wa bwawa la umwagiliaji kata ya Membe, wilaya ya Chamwino jijini Dodoma…
5 November 2025, 16:17
Kutokujituma kunaweza kupelekea tatizo la afya ya akili
Aidha Mtahu ameshauri vijana kujituma katika umri wao kwani wakati huo hukutana na watu wengi ambao wangeweza kuwasaidia kutokana na nguvu kazi waliyo kuwanayo. Na Farashuu Abdalah. Vijana wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza hapo baadae…