sumu
23 October 2024, 6:59 pm
Afya ya akili ni changamoto kwa vijana
Na Steven Noel. Vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa wanakabiliwa na changamoto ya afya ya akili kutkana na sababu mbalimbali likiwemo suala la mahusiano. Julieth Mageje muuguzi kitengo cha afya ya akili wilayani mpwawa anabainisha chanzo la tatizo…
8 October 2024, 6:39 pm
‘Skanka’ hatari kwa magojwa ya afya ya akili kwa wasichana Dodoma
Na Mariam Matundu. Wasichana jijini Dodoma wapo hatarini kupata magojwa ya afya ya akili kutokana na matumizi makubwa ya dawa za kulevya aina ya ‘skanka’. Akiwa katika mahojiano na Mariam Matundu mtangazaji wa Dodoma TV, Mkurugenzi wa taasisi ya Recovery…
17 May 2024, 12:06 pm
Teknolojia, utandawazi chanzo cha kukua kwa matatizo ya afya ya akili
Watu wengi wana tatizo la afya ya akili lakini hawatambui. Na Mindi Joseph.Matatizo ya afya ya akili kwenye familia na jamii yametajwa kukua nchini kufuatia kukua kwa teknolojia na utandawazi.Dodoma Tv imefanya mahojiano na Shabani Waziri kutoka chama cha wanasaikoljia…
17 August 2022, 4:04 pm
Watu Nane wa Familia Moja wahisiwa kula chakula chenye Sumu Pangani.
Hali ya afya ya watu wa familia moja waliopata madhara baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa kimechanganyika na sumu wilayani Pangani Mkoani Tanga inaendelea vizuri na tayari saba kati yao wameruhusiwa kutoka hospitalini huku mmoja akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.…
7 March 2022, 1:46 pm
Jamii inahitaji zaidi Elimu ya Afya ya akili
Na; Benard Filbert. Wadau wa afya nchini wameombwa kuwekeza katika utoaji wa elimu ya afya ya akili kwa vijana ili kuwasaidia kuondokana na changamoto mbalimbali. Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa huduma za tiba kutoka wizara ya afya wakati akizungumza na…
12 October 2021, 12:57 pm
Serikali yatakiwa kuongeza nguvu katika kuwekeza na kupambana na magonjwa ya Afy…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa serikali kuongeza nguvu ya kuwekeza katika magonjwa ya afya ya akili . Wito huo umetolewa na Rais na muasisi kutoka shirika la afya ya akili ya Jamii Tanzania (CMHI-Tanzania) Dr. Joshua John na kusema…
11 October 2021, 12:30 pm
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayo husiana na…
Na; Yussuph Hans. Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili hapo jana, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili…