Radio Tadio

Sikoseli

27 Aprili 2026, 15:17

Marufuku kuingiza, kusafirisha nguruwe Mpwapwa

Amesema wamefikia hatua hiyo kutokana na ugonjwa wa nguruwe  unaosababishwa na virusi na hauna tiba wala kinga . Na Steven Noel. Kaimu Afisa Mifugo  Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma Dkt. Emanuel Lyimo amesema kufuatia kuwepo wa ugonjwa wa nguruwe kwa baadhi ya…