Radio Tadio

PSSA

24 Juni 2025, 12:36 um

UDOSO yazindua mfuko maalum ufadhili wa masomo

Katika safari ya kutafuta elimu bora, bado kuna kundi la vijana ambao hupambana na changamoto za kiuchumi. Na Mariam Kasawa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOSO)  imezindua mfuko maalum wa kuwasaidia wanafunzi wanaoshindwa kumudu gharama za masomo.…