Radio Tadio

Nkuhungu

25 April 2025, 5:36 pm

Rais Samia kuzindua benki ya ushirika Dodoma

Hata hivyo ametoa wito Kwa wananchi wote wa Dodoma na maeneo jirani kujitokeza Kwa wingi na uzalendo kushiriki katika tukio hilo la kihistoria. Na Alfred Bulahya.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Benki ya…