Mto
8 August 2024, 5:22 pm
Asili ya chakula cha kabila la warangi
Ni aina gani ya nafaka hutumiwa zaidi na wakazi wa eneo hili katika chakula na wanapotengeneza pombe za kienyeji? Na Yussuph Hassan.Bado tupo katika kata ya Kingale na leo mwenyeji wetu anatueleza chakula cha asili kinachotumiwa na kabila hili la…
6 August 2024, 5:30 pm
Ifahamu ngoma aina ya Mambala inayochezwa na Warangi
Tunayo ngoma kwaajili ya wanawake ambao hawajaweza kupata watoto walichezewa ngoma ya mambala. Na Yussuph Hassan.Yapo mafanikio ambayo watu wa kata ya Kingale wanayafurahia lakini bado hawasahau mila na tamaduni zao ambazo wanazienzi japokuwa kuna maendeleo mengi ya kisayansi na…
5 August 2024, 6:00 pm
Leo tunaangazia maendeleo katika kata ya Kingale
Wakazi wa eneo hili asili yao ni kabila la warangi kupitia fahari ya Dodoma tutafahamu asili ya kabila hili la warangi. Na Yussuph Hassan. Kata ya Kingale kwasasa imekuwa na mabadiliko makubwa tofauti na kipindi cha nyuma kwani kwa sasa…
20 March 2023, 3:07 pm
Wananchi walalamika kutumia maji yasiyo salama
Wakazi walalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na salama baaada ya kuharibika kwa mashine ya kusukuma maji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Chinugulu wilayani chamwino wamelalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na…