Mtama
22 July 2024, 5:59 pm
Miundombinu bora ya shule yaongeza kiwango cha ufaulu Lukundo Sekondari
Shule ya Sekondari Lukundo imeendelea kushika nafasi ya 2 ki Wilaya na 3 bora kwa Mkoa kwa kipindi cha miaka mitatu kwa mujibu wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta). Na Mindi Joseph. Uboreshaji wa Miundombinu ya Wanafunzi na Walimu…
29 August 2023, 4:32 pm
Dodoma wafurahishwa ongezeko la mtama sokoni
Kutokana na Shirika la Afya , mtama umeweza kuwa chakula muhimu katika kupambana na changamoto ya udumavu pamoja na unyafunzi kwa watoto. Na Astedi Bambora. Upatikanaji wa zao la mtama kwa wingi katika soko kuu la majengo Jijini Dodoma kumewanufaisha…
1 June 2023, 2:14 pm
Wakulima wa mtama wanufaika na mbegu za mesia
Mtama ni miongoni mwa mazao ya nafaka yanayolimwa kwa wingi nchini na duniani kote na zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la mtama mkoani Dodoma wamesema mbengu za mtama aina ya…
13 March 2023, 3:43 pm
Wananchi wilayani Bahi wasisitizwa kulima mtama
Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilaya ya Bahi kuhakikisha kila kaya inalima ekari mbili za mtama ili kuepuka adha ya kukosa chakula. Na Benard Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilayani humo kuhakikisha kila kaya…