Radio Tadio

Moyo

14 August 2026, 16:16

Matumizi ya visikizi kwa muda mrefu hatari kwa usikivu

Wataalamu wanashauri watumiaji wa earphones kupunguza kiwango cha sauti, kuepuka kuzitumia kwa muda mrefu bila mapumziko na kuzingatia afya ya masikio ili kujilinda dhidi ya madhara yanayoweza kujitokeza baadaye. Na Grace Budodi.                                              Matumizi ya earphones (kifaa cha kusikilizia sauti) kwa…

11 October 2023, 09:04

BMH kuanzisha upasuaji wa moyo kwa watu wazima

Katika kuadhimisha Miaka 8 ya Mafanikio Hospitali ya Benjamin Mkapa zaidi ya wananchi 100 wamepatiwa huduma ya Nyonga na kupunguza gharama na usumbufu. Na Mindi Joseph. Katika kuadhimisha miaka 8 Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha huduma za upasuaji wa…