
Radio Tadio
2 August 2023, 2:59 pm
Ngulelo amesema kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia maji ambayo si safi na salama na kuiomba Serikali kuingili kati suala hilo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Mlimwa wilayani Chamwino wamelalamikia changamoto ya upungufu wa huduma ya maji hali inayowapa…