Mkaa
September 21, 2025, 8:40 am
JKT Itaka wafundisha utengenezaji mkaa mbadala
Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…
26 February 2025, 5:30 pm
Uandikishaji wa watoto wengi waleta changamoto shule ya msingi Dabalo
Kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi imepelekea wanafunzi kukaa Kwa kubanana kwani baadhi Yao wanalazimika kukaa zaidi ya wanafunzi sabini katika chumba kimoja. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa Pomoja na kufanikiwa kuandikisha watoto wengi wa darasa la kwanza lakini mafanikio hayo…
20 April 2023, 11:05 am
Taasisi na vituo vinavyo hudumia watu wengi kupigwa marufuku kutumia mkaa na k…
Watu wengi hutumia nishati hiyo kwa sababu ni rahisi kupatikana na wanaweza kumudu gharama yake tofauti na nishati nyingine kama umeme na gesi. Na Fred Cheti. Inaelezwa kuwa zaidi ya hekta 46,960 za misitu huharibiwa kila mwaka nchini kwa ajili…