Radio Tadio
11/01/2024, 18:34
Ni miaka miwili sasa Wananchi wa Mtaa wa Ihumwa A jijini Dodoma wanalalamikia mchangamoto hiyo licha ya juhudi kubwa iliyofanywa mwaka jana na kampuni ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Yap Markez kuchimba mtaro huo. Na Victor Chigwada.Wakazi wa…