
Radio Tadio
19 January 2022, 2:49 pm
Na; Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini hapa wameiomba serikali kupitia mamlaka zinazohusika kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya kujikinga na majanga mbalimbali ya asili. Hayo yanajiri kufuatia hivi karibuni kutokea tetemeko la Ardhi katika baadhi ya maeneo ambapo…