
Radio Tadio
29 May 2023, 8:33 pm
Mazao jamii ya mikunde yanatajwa kuwa na protini nzuri na bora kuliko protini nyingenezo hivyo wanahamasishwa kulima na kutumia mazao hayo. Na Mindi Joseph. Jamii imeshauriwa kuendelea kutumia na kulima kwa wingi mazao ya jamii ya mikunde hususan mbaazi ili…