Radio Tadio
Marufuku
28 March 2024, 7:36 pm
Nzuguni A waishukuru Serikali kwa kuchonga barabara
Ni msimu wa kiangazi tu Barabra hii ilikuwa inapitika Lakini Msimu wa masika ilikuwa ni kikwazo. Na Mindi Joseph. Wakazi wa Nzuguni A wameishukuru Tarura kwa Uchongaji wa barabara Kilometa 9.780 na uzibaji wa mashimo kwa kifusi katika mtaa huo…
20 February 2023, 6:00 pm
Marufuku walimu wa kiume kutumika kusindikiza magari ya shule (School bus)
KATIKA kukabilina na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini mkoa wa Dodoma umepiga marufuku walimu wa kiume kutumika kusindikiza magari ya shule (School bus) na kuanzia sasa wanawake pekee ndiyo watakao husika na jukumu hilo. Na Alfred Bulahya.…