Radio Tadio

Mapinduzi

12 June 2026, 12:33

Je masomo ya ziada yana mchango gani wakati wa likizo

Wanasema msisitizo mkubwa wa masomo bila mapumziko unaweza kuleta uchovu wa kiakili kwa wanafunzi, hivyo ni muhimu kupanga vipindi visivyowalemaza watoto. Na Daniel Njau. Wakati wanafunzi wakiwa kwenye likizo za shule, baadhi ya wazazi na wataalamu wa elimu wanaona kuwa…

19 September 2023, 17:01

Mapinduzi A waomba nyumba ya daktari wa zahati yao

Hata hivyo Serikali inawataka wawekezaji wote nchini kushiriki kikamilifu  katika kutatua  changamoto zinazo  wakabili wananchi walio karibu na mradi wa mwekezaji huyo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa mpinduzi A wameiomba Serikali na wadau wa afya kuwasaidia kupatikana wa…