Radio Tadio
26/02/2026, 12:50
Ameongeza kuwa jumla ya rufaa 26 zimewasilishwa na kushughulikiwa na mamlalaka ya rufani ya zabuni za Umma. Na Bennard Komba. Imeelezwa kuwa kutungwa upya kwa sheria ya manunuzi serikalini 2024/2025 imesaidia kuboresha manunuzi Pamoja na sekta ya ugavi Pamoja na…
17/08/2023, 16:19
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilibainisha bei ya mazao ya chakula ikiwemo maharage imepungua kutoka asilimia 33.5 hadi asilimia 28.3 kwa mwaka ulioshia mwezi Julai 2023 ikilinganishwa na mwaka ulioshia mwezi Juni…