Radio Tadio

Madereva

21 August 2025, 4:33 pm

Wazazi watakiwa kuzingatia chanjo ya polio kwa watoto

Hivi karibuni UNICEF na shirika la afya duniani WHO nchini Tanzania walizindua kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio iliyowafikia Watoto zaidi ya milioni 4. Na Lovenes Miriam.Wazazi hususani wanawake wametakiwa kuachana na tabia ya kudharau chanjo ya…