Kwaresma
10 December 2024, 5:19 pm
Ifahamu historia ya ‘Kisima cha Nyoka’
Je kwanini kisima hiki kiliita jina hilo hapa wazee wa eneo hilo wanaeleza. Leo Yussuph Hassan yupo kata ya Chang’ombe mtaa wa Mazengo akiangazia historia ya Kisima cha Nyoka kinachopatika katika eneo hili.
12 August 2024, 3:37 pm
Kofia zinazotengenezwa kwa mkono na wakazi wa Kondoa
Mzee Rofati anasema kazi hii ya utengenezaji wa kofia aliirithi kutoka kwa wake walio kuwa wanatengeneza hapo zamani. Na Yussuph Hassan.Leo katika kipindi cha Fahari ya Dodoma tunazungumzia umaarufu wa kofia zinazotengenezwa kwa mkono tangu miaka ya 50, kofia hizi…
2 August 2024, 6:09 pm
Leo tunatazama asili ya kata ya Kingale
Yussuph Hassan ametembelea Kingale na kuzungumza na wenyeji wa eneo hilo. Na Yussuph Hassan. Kata hii inapatikana katika wilaya ya Kingale leo tutafahamu zaidi wenyeji wa kata hii pamoja na asili ya jina kingale.
1 August 2024, 4:38 pm
Bado tunautazama Mtaa wa Swaswa
Tuna vijana ambao wamepewa mafunzo na inspekta wa kituo cha polisi hapa mtaani hii inasaidia sana kuhakikisha usalama na ulinzi wa hapa. Na Yussuph Hassan.Na leo tena katika kipindi chetu tunaendelea kuangalia ni kwa jinsi gani mtaa huo umebarikiwa mandhari…
18 July 2024, 4:39 pm
Utawala wa mnyama simba-Kipindi
Leo katika Fahari tunaangazia maisha ya mnyama simba katika utawala na mawindo . Na Yussuph Hassan.Je, unafahamu kuwa simba dume akivamia familia ya simba mwingine na kuitawala hulazimika kuwaua watoto madume wote na kisha kuanza kizazi chake upya.
18 April 2024, 6:08 pm
Wafahamu wapigania uhuru ambao walikaa katika kambi ya Kongwa
Nini kinapelekea wilaya ya Kongwa kuwa maarufu na Kongwe fuatilia mfululizo wa makala hii ya fahari ya Dodoma uweze kufahamu zaidi. Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma imetembelea katika wilaya ya Kongwa ili uweze kufahamu zaidi historia ya wilaya hii…
23 February 2023, 3:44 pm
Wakristo itumieni kwaresma kujipatanisha na Mungu
Lazima tufanye mazoezi ya kiroho kwa kutubu kidogo kidogo na hatimaye tuweze kuacha dhambi kabisa, tusikubali kurudia katika dhambi. Na Bernad Magawa Wito umetolewa kwa wakristo kukitumia vizuri kipindi cha kwaresma kuwa kipindi cha kufanya toba, kujipatanisha kiroho na kumrudia…