
Radio Tadio
31 December 2023, 15:02
Na Hobokela Lwinga Mchungaji Paul Mwampamba hatimaye amesimikwa rasmi kuwa Mchungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Yeriko na katibu wa wilaya ya Mbalizi inayopatikana katika mji mdogo wa Mbalizi halmashauri ya wilaya ya Mbeya.…