Radio Tadio

Kikombo

25 May 2023, 7:41 pm

Vijana watakiwa kujikita katika kilimo

Katika eneo hili mazao mbalimbali yanazalishwa ikiwemo matunda kama vile embe papai na chungwa pamoja na mazao mengine kama migomba na mihogo. Na Thadei Tesha. Vijana jijini Dodoma wameshauriwa kujiingiza katika shughuli za kilimo kwani zikifanywa kiukamilifu zinaweza kuleta fursa…