Radio Tadio

Katoliki

6 Oktoba 2025, 11:11 mu

Chamwino kunufaika na huduma bora za afya ya uzazi

Picha ni Mganga Mkuu jiji la Dodoma Dkt. Pima Sebastian na wadau wakifungua jengo la mama na mtoto zahanati ya Chamwino. Picha na Lilian Leopold. Mradi huo ambao ulianza kutekelezwa mwaka 2018 na kukamilika mwezi Septemba 2025, umekuwa miongoni mwa…

10 Agosti 2023, 12:10 um

Jimbo kuu katoliki Dodoma lapokea sanamu ya Bikira Maria

Kwa mujibu wa imani ya kanisa katoliki, Mama bikira maria ndiye mama wa Yesu kristo Mkombozi wa ulimwengu,  ambaye ni muombezi wa kanisa ambapo baada ya kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, Muasisi wa Taifa hili hayati Julius Kambarage…

14 Juni 2023, 12:10 um

Viongozi kanisa katoliki waaswa kudumisha amani, baraka

Viongozi wamekumbushwa kuwa na mshikamo ili kuepusha migongano mbalimbali isiyokuwa ya lazima. Na Bernad Magawa. Viongozi wa kanisa jimbo kuu katoliki Dodoma wameaswa kuwa wasikilizaji wazuri wa shida za wale wanaowaongoza huku wakikumbushwa kufanya utafiti wa kina kabla wa kutolea…