
Radio Tadio
8 August 2023, 7:24 pm
Mahakama ya wilaya ya Itilima imemuhukumu ,Malimi Masunga kwenda jela miaka 30 kwa makosa matatu,Kubaka ,Kumtorosha na kumshawishi kumuoa mwanafunzi chini ya miaka 16. Na,Daniel Manyanga Mahakama ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Malimi…