Radio Tadio

Ghala

23 February 2026, 17:08

Bandari kavu Dodoma suluhisho msongamano wa bandari Dar

Inatarajiwa kupokea zaidi ya kontena 1500, jambo litakalorahisisha biashara na kuongeza kasi ya usafirishaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi. Na Mariam Kasawa. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amefanya ziara ya kukagua mradi wa Bandari Kavu…