
Radio Tadio
28 March 2024, 8:09 pm
NaThadei Tesha. Waumini wa dini ya kikristo wametakiwa kuiadhimisha siku ya alhamisi kuu kwa kutenda matendo mema pamoja na kufanya toba. Wakristo kote ulimwenguni wakiwemo wa kanisa Wakatoliki wanaungana katika kuadhimisha siku ya alhamisi kuu,siku hii ikiwa ni mwendelezo wa…
20 February 2023, 6:09 pm
Gari ndogo aina ya kirikuu zimekuwa zikifanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali jijini hapa ambapo shughuli hiyo imekuwa ikiwasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fursa mbalimbali na kuendesha shughuli zao za kimaisha. Na Thadei Tesha. Madereva wa gari ndogo za …