AMDT
27 Oktoba 2025, 3:55 um
Ukatili unao wakabili watu wakati wa kampeni
Leo tunaangazia ukatili unaowakabili watu wakati wa kampeni za kisiasa. Na Seleman KodimaTunaungana na Anthony Makinda, kijana kutoka Chang’ombe, ambaye anasimulia ukatili alioupitia wakati wa kipindi cha kampeni.
13 Oktoba 2025, 11:51 mu
Wanasiasa wahimizwa kufanya kampeni kwa amani
Viongozi kisiasa watakiwa kutambua umuhimu wa kulinda amani ya nchi kwenye kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Picha na Mtandao. Rai hiyo imetolewa na Askofu Evance Chande alipokuwa akihubiri kwenye ibada iliyofanyika kanisani hapo lililopo Ipagala Mkoani Dodoma. Na Selemani…
28 Agosti 2025, 3:33 um
Jeshi la Polisi Tanzania mguu sawa kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu 2025.
Vilevile, limewakumbusha wagombea kuzingatia ratiba na muda wa kampeni uliopangwa ili kuepuka mivutano, migongano au migogoro itakayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Na Mariam Kasawa.Jeshi la Polisi Tanzania limesema lipo tayari kuhakikisha amani, utulivu na usalama vinaendelea kudumishwa wakati wote wa…
19 Agosti 2025, 3:13 um
Vyama vya siasa vyatakiwa kufanya siasa za kistaarabu
Ikumbukwe kuwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na urais zitafanyika kuanzia Agosti 28 hadi Oktoba 28, siku inayofuata Jumatano, Oktoba 29, 2025 itakuwa siku ya upigaji kura. Na Farashuu Abdallah. Vyama vya siasa vimetakiwa kufanya siasa za kiusataarabu…
27 Novemba 2023, 12:42 um
Wizara ya kilimo yafanya tathmini utoshelevu wa chakula nchini
Amesema moja ya changamoto inayokwamisha upatikanaji wa masoko ya uhakika nje ya nchi ni kukosekana kwa tija hii inasababishwa na kutokidhi viwango vinavyotakiwa kuanzia kweye ubora,wingi,mabadiliko ya bei sokoni na kuhakikisha kuwa muda wote tunasambaza bidhaa masokoni. Na Alfred Bulahya.…
24 Mei 2023, 7:17 um
Wanawake, vijana watakiwa kubadili mitazamo na kushiriki katika sekta ya kilimo
Jukumu kubwa la taasisi ya uboreshaji wa mifumo na masoko ya kilimo AMDT ni kuwezesha na kuboresha mabadiliko makubwa ya kimkakati kwenye mifumo ya masoko ya sekta za kilimo. Na Mindi Joseph. Vijana na wanawake wametakiwa kubadili mitazamo na kushirikiana…