Storm FM

mafunzo

4 May 2024, 1:13 pm

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200

Kutokana na kundi la bodaboda kutajwa kutokuzingatia suala la usalama na afya mahala pa kazi wadau wameombwa kuendelea kujitokeza kutoa elimu kwa kundi hilo ili kuepuakana na vifo au ulemavu wa kudumu. Na Mwandishi Wetu: ZAIDI ya madereva bodaboda 200…

15 April 2024, 5:11 pm

TADIO yazipiga msasa redio 10 za kijamii

Redio za kijamii zimekuwa na manufaa makubwa hapa nchini kwa kuwa zinajikita kuangazia changamoto za wananchi moja kwa moja katika maeneo husika na kuzifikisha kwa mamlaka husika ili zipatiwe ufumbuzi. Na Mrisho Sadick: Jukwaa la Redio za Kijamii Tanzania TADIO…