Sibuka FM
udanganyifu
2 November 2021, 1:58 pm
mwalimu mkuu mikononi mwa polisi kwa udanganyifu wa mitihani ya darasa la nne
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Bariadi Mwalimu mkuu shule ya msingi Shimbale katika halmashauri ya Bariadi mkoani Simiyu Gaudensia Anyango mwenye umri wa miaka 45 Mjaruo na mkazi wa mtaa Shimbale anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya udanganyifu…