Sibuka FM
NMB.
8 October 2021, 7:15 pm
NMB yatoa Msaada wa vifaa vya ujenzi Shule za Msingi na Sekondari …
Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya Ujenzi kwa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani Maswa Mkoani Simiyu vyenye thamani ya Shilingi Milioni Ishirini na Nne.. Akikabidhi vifaa hivyo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh Aswege Kaminyoge , Meneja …