Sibuka FM
Mimba za Utotoni.
25 February 2022, 5:50 pm
Serikali Mkoani Simiyu kujenga Mabweni ya wanafunzi wa kike il…
Serikali Mkoani Simiyu inatarajia kutumia zaidi ya shilingi Bilion 6 kujenga mabweni kwa ajili ya kuwanusuru na Mimba za Utotoni watoto wanaotoka kwenye kaya masikini wanaosoma Shule za Sekondari Mkoani hapa. Akizungumza na wakazi wa Wilayani Maswa Mkoani Simiyu kwenye…