Sibuka FM
MAUWAJI
22 October 2021, 8:14 pm
Ugonjwa wa akili wapelekea kujinja watoto wake wawili kisha naye kujichinja.
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu. Mama mmoja aitwaye Ng’washi Makigo mwenye umri miaka 35 Msukuma na mkazi wa kijiji Gula wilayani Maswa mkoani Simiyu amewaua watoto wake wawili kwa kuwachinja kwa kutumia kisu kisha naye kijichinja. Kamanda wa polisi mkoa…