Sibuka FM
MAHAKAMA
8 February 2022, 9:44 am
KILELE CHA WIKI YA SHERIA , MAHAKAMA YA WILAYA MASWA YAPOKEA …
Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu imepokea jumla ya malalamiko 345 katika wiki ya sheria huku malalamiko ya utelekezwaji wa watoto yakiongoza yakifuatiwa na Migogoro ya Ardhi. Akitoa taarifa kwa mgeni rasimi, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya …