Sibuka FM
madiwani
30 January 2022, 2:59 pm
kata saba wilayani bariadi kuunganishwa na miundombinu ya barabara
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi wameshauri kuunganishwa kwa kata saba kwa njia ya barabara ili kuwapunguzia adha wananchi kutumia muda mrefu kufika makao makuu halmashauri hiyo yaliyopo Dutwa.Wameyasema hayo wakati wakipokea taarifa kwenye…