Sengerema FM
uteuzi wa ma RC
15 May 2021, 2:36 pm
Rais Samia afanya uteuzi wa wakuu wa mikoa,aikumbuka familia ya Nyerere.
LEO Mei 15, 2021 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Makongoro Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara akichukua nafasi ya Joseph Mkirikiti ambaye amehamishiwa mkoa wa Rukwa. Makongoro ambaye ni mtoto Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Kambarage…