Sengerema FM

Uteuzi ikulu

13 May 2021, 11:27 pm

Rais Samia afanya uteuzi, Sabaya pembeni kupisha uchunguzi.

Rais Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Taarifa iliyotolewa Alhamisi Mei 13, 2021 na mkurugenzi wa mawasiliano ya rais Ikulu, Gerson Msigwa inaeleza kuwa…