Sengerema FM
tbs
5 May 2021, 5:05 pm
TBS yatakiwa kufanya ukaguzi wa Bidhaa feki Mjini Sengerema.
Shirirka la viwango nchina Tanzania TBS limetoa mafunzo ya usindikaji bidha za mchele kwa wajasilia mali Wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Akizungumza baada ya kufungua mafunzo hayo Katibu Tawala wa wilaya hiyo kwa niaba ya mkuu wa wilaya Bwn. Alan augostine…