Sengerema FM
Tamisemi
10 May 2021, 4:20 pm
Naibu waziri Tamisemi atoa maagizo mazito kwa viongozi Sengerema.
Naibu waziri wa Tamisemi Mh, David Erenest Silinde ameiagiza halmashauri ya Sengerema kulipa fidia kwa wananchi walioachia viwanja vyao kwa ajiri ya kupisha ujenzi wa stendi mpya ya magari eneo la bukala kata ya ibisabageni wilayani Sengerema Mkoani Mwanza ndani…