Sengerema FM
Seuwasa
21 May 2021, 4:47 pm
Mwauwasa yakabidhi mradi mkubwa wa maji mjini Sengerema.
Mamlaka ya maji mjini mwanza (MWAUWASA) wamekabidhi mradi wa maji kwa mamlaka ya maji mjini Sengerema uliojengwa kwa kiasi cha zaidi billioni moja hadi kukamilika na unatarajia kunufaisha watu elfu kumi uliopo katika kata ya Nyampande Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.…