Sengerema FM
mkopo kwa akina mama
15 April 2021, 6:51 pm
Zaidi ya million 50 zatolewa kwenye vikundi vya wakinamama Sengerema.
Jumla ya milioni hamsini na saba57,200,000/= zimetolewa kwa vikundi 40 vya wanawake wajasiliamali wilayani sengerema mkoani. Akizungumza na Redio Sengerema Mratibu wa mfuko wa wanawake Wilaya Bi.Noela Yamo amevitaja vikundi vilivyopewa mkopo ni pamoja na imani lelemama kutoka butonga,wanaufunuo kutoka…