Sengerema FM
mamba buchosa
7 May 2021, 7:02 pm
Mamba apotea katika mazingira ya kutatanisha,Madiwani watoa maagizo.
Baraza la madiwani Halmshauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza limeitaka Serikali kumsaka mamba aliye uawa na wananchi kisha kupotea katika mazigira ya kutatanisha. Mjadala huo ambao umedumu kwa takiribani dakika 10 katika ukumbi wa mikutano uliopo katika jengo la…