Michezo
2 June 2021, 3:26 pm
Madalizi metch ya Simba sc vs Ruvushooting yakamilika Ccm kirumba.
Maandalizi ya mechi kati ya ruvushooting na Simba sc yakamilika katika uwanja wa ccm kirumba jijini Mwanza. Akizungumza na wandishi wa Habari katibu wa Shirikisho la mpira wa miguu mkoa wa mwanza (MZFA) Bwn.Leonard Malongo amesema madalizi ya metchi hiyo…
23 April 2021, 8:50 pm
Simba Sc kupigania point3 Misungwi, kukaa kileleni mwa Ligi kuu VPL
Kocha msaidizi wa Simba sc Suleiman Matola amesema katika metch yao dhiidi ya Gwambina fc ya jijini Mwanza utakao chezwa hapo kesho katika uwanja wa Gwambina Misungwi utawahakikishia kuanza kukaa kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara. Akizungumza wa wandishi wa…
17 April 2021, 3:43 pm
Mwadui FC yatamba kuvuruga mipango ya mabingwa wa ligi kuu Vpl Simba sc.
Kocha wa Mwadui Fc Salhina Mjengwa amesema amejipanga vilivyo kuikabilia klabu ya Simba sc kutoka jijini Dar es salaam katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakao chezwa siku ya jumapili ya tar18/04 mwaka huu katika uwanja wa Ccm kambarage…
4 April 2021, 8:08 pm
Namungo fc wachezea kichapo cha gori 1-0 dhiidi ya Nkana fc
TIMU ya Namungo FC imepoteza mechi ya tatu mfululizo katika Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Bao pekee la Nkana…
3 April 2021, 8:43 pm
Simba yaichapa 4-1 As vita ya Congo yatinga robo fainali ligi ya mabingwa Afrika
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika, baada kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya klabu ya AS Vital ya Kongo DRC, lakini pia mabingwa hao wa Tanznaia wamejihakikishia nafasi…