Radio Kwizera

Radio Kwizera

March 25, 2021, 8:36 am

Biharamulo wahimizwa kuwajibika

Na; William Mpanju Serikali Wilayani  Biharamulo  Mkoani Kagera  imewataka  wananchi na watumishi wa umma kuendelea  kufanya kazi kwa bidii ili kumuenzi hayati  Dr John  Pombe Joseph Magufuli   Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Kanali  Mathias  Kahabi  amesema hayo wakati  akieleza namna wananchi  wa Biharamulo  wanavyotakiwa  kuendelea kumuenzi  kwa kufanya kazi kama ilivyokuwa kauli mbiu ya Dr Magufuli ya “Hapa Kazi Tu”…