Radio Kwizera
mediaday
May 3, 2021, 7:39 pm
Kigoma kuwawajibisha watumishi wanaotatiza Uhuru wa Habari
Na; Phillemon Golkanus Serikali mkoani Kigoma imesema itawachukulia hatua watumishi wa umma na wakuu wa Taasisi za umma watakaokwamisha upatikanaji wa habari na kuwanyima ushirikiano waandishi wa habari kwa ajili ya maendeleo ya mkoa huo. Akizungumza katika maadhimisho ya siku…