Radio Kwizera
maji
May 7, 2021, 6:26 pm
Mil.500 zaidhinishwa kujenga Mradi mkubwa wa Maji Ngara
Na; Seif Upupu Wizara ya Maji imeidhinisha Sh Milioni 500 kwa ajili ya kujenga mradi wa Maji wa Ngara mjini wilayani Ngara mkoani Kagera utakaofikisha maji kwenye vijiji vya Mukididili, Buhororo, Kumuyange na Nyamiaga Mbunge wa jimbo la Ngara Bw…